Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 28:4

Kut 28:4 SUV

Na mavazi watakayoyafanya ni haya; kifuko cha kifuani, na naivera, na joho, na kanzu ya kazi ya urembo; na kilemba, na mshipi; nao watawafanyia Haruni nduguyo, na wanawe, mavazi matakatifu ili anitumikie katika kazi ya ukuhani.

Soma Kut 28

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 28:4