Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 28:4

Kutoka 28:4 NEN

Haya ndiyo mavazi watakayoshona: kifuko cha kifuani, kisibau, kanzu, joho lililorembwa, kilemba na mshipi. Mavazi haya yatashonwa kwa ajili ya ndugu yako Aroni na wanawe ili wanitumikie katika kazi ya ukuhani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 28:4