Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 27:20-21

Kut 27:20-21 SUV

Nawe waamuru wana wa Israeli wakuletee mafuta ya zeituni safi ya kupondwa kwa ajili ya nuru, ili kufanya ile taa kuwaka daima. Ndani ya ile hema ya kukutania, nje ya hilo pazia, lililo mbele ya huo ushuhuda, Haruni na wanawe wataitengeza tangu jioni hata asubuhi mbele ya BWANA; itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyao vyote kwa ajili ya wana wa Israeli.

Soma Kut 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 27:20-21