Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Est 9:1

Est 9:1 SUV

Hata ulipofika mwezi wa kumi na mbili, ndio mwezi wa Adari, siku yake ya kumi na tatu, amri ya mfalme na mbiu yake ilipowadia kutekelezwa; ambayo siku ile adui za Wayahudi walitumaini kuwatawala, bali kumebadilika kinyume, hata Wayahudi waliwatawala wale waliowachukia

Soma Est 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Est 9:1