Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 5:22-24

Efe 5:22-24 SUV

Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.

Soma Efe 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Efe 5:22-24