Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 2:1-2

Efe 2:1-2 SUV

Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu; ambazo mliziendea zamani kwa kuifuata kawaida ya ulimwengu huu, na kwa kumfuata mfalme wa uwezo wa anga, roho yule atendaye kazi sasa katika wana wa kuasi

Soma Efe 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Efe 2:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha