Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mhu 9:11

Mhu 9:11 SUV

Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.

Soma Mhu 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mhu 9:11