Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 32:10-11

Kum 32:10-11 SUV

Alimkuta katika nchi ya ukame, Na katika jangwa tupu litishalo; Alimzunguka, akamtunza; Akamhifadhi kama mboni ya jicho; Mfano wa tai ataharikishaye kioto chake; Na kupapatika juu ya makinda yake, Alikunjua mbawa zake, akawatwaa, Akawachukua juu ya mbawa zake

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kum 32:10-11