Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Dan 6:1-3

Dan 6:1-3 SUV

Ilimpendeza Dario kuweka juu ya ufalme maliwali mia na ishirini, wawe juu ya ufalme wote; na juu yao akaweka wakubwa watatu, na Danieli alikuwa mmoja wao; ili maliwali hawa watoe hesabu kwao, mfalme asipate hasara. Basi Danieli huyo alipata sifa kuliko wakubwa na maliwali, kwa kuwa roho bora ilikuwa ndani yake; naye mfalme akaazimu kumweka juu ya ufalme wote.

Soma Dan 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Dan 6:1-3