Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kol 1:16-17

Kol 1:16-17 SUV

Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake. Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.

Soma Kol 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kol 1:16-17