Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 8:34-35

Mdo 8:34-35 SUV

Yule towashi akamjibu Filipo, akasema, Nakuomba, nabii huyu; asema maneno haya kwa habari ya nani; ni habari zake mwenyewe au za mtu mwingine? Filipo akafunua kinywa chake, naye, akianza kwa andiko lilo hilo, akamhubiri habari njema za Yesu.

Soma Mdo 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 8:34-35