Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 6:8-10

Mdo 6:8-10 SUV

Na Stefano, akijaa neema na uwezo, alikuwa akifanya maajabu na ishara kubwa katika watu. Lakini baadhi ya watu wa sinagogi lililoitwa sinagogi la Mahuru, na la Wakirene, na la Waiskanderia, na la wale wa Kilikia na Asia, wakaondoka na kujadiliana na Stefano; lakini hawakuweza kushindana na hiyo hekima na huyo Roho aliyesema naye.

Soma Mdo 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 6:8-10