Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 27:23-25

Mdo 27:23-25 SUV

Kwa maana usiku huu wa leo malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake, naye ndiye nimwabuduye, alisimama karibu nami, akaniambia, Usiogope, Paulo, huna budi kusimama mbele ya Kaisari; tena, tazama, Mungu amekupa watu wote wanaosafiri pamoja nawe. Basi, wanaume, changamkeni; kwa sababu namwamini Mungu, ya kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa.

Soma Mdo 27

Video for Mdo 27:23-25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 27:23-25