Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 25:6-7

Mdo 25:6-7 SUV

Alipokwisha kukaa kwao siku nane au kumi si zaidi, akatelemkia Kaisaria; hata siku ya pili akaketi katika kiti cha hukumu akaamuru Paulo aletwe. Alipokuja, wale Wayahudi walioshuka kutoka Yerusalemu wakasimama karibu yake wakaleta mashitaka mengi mazito juu yake, wasiyoweza kuyayakinisha.

Soma Mdo 25

Video for Mdo 25:6-7