Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 2:37-38

Mdo 2:37-38 SUV

Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu? Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.

Soma Mdo 2

Verse Image for Mdo 2:37-38

Mdo 2:37-38 - Walipoyasikia haya wakachomwa mioyo yao, wakamwambia Petro na mitume wengine, Tutendeje, ndugu zetu? Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 2:37-38