Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 16:30-33

Mdo 16:30-33 SUV

kisha akawaleta nje akasema, Bwana zangu, yanipasa nifanye nini nipate kuokoka? Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka pamoja na nyumba yako. Wakamwambia neno la Bwana, yeye na watu wote waliomo nyumbani mwake. Akawakaribisha saa ile ile ya usiku, akawaosha mapigo yao, kisha akabatizwa, yeye na watu wake wote wakati uo huo.

Video ya Mdo 16:30-33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 16:30-33