Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 16:14-15

Mdo 16:14-15 SUV

Mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, mwenyeji wa Thiatira, mcha Mungu, akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo. Hata alipokwisha kubatizwa, yeye na nyumba yake, akatusihi, akisema, Kama mmeniona kuwa mwaminifu kwa Bwana, ingieni nyumbani mwangu mkakae. Akatushurutisha.

Soma Mdo 16

Video for Mdo 16:14-15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 16:14-15