Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 11:15-17

Mdo 11:15-17 SUV

Ikawa nilipoanza kunena, Roho Mtakatifu akawashukia kama alivyotushukia sisi mwanzo. Nikalikumbuka neno lile la Bwana, jinsi alivyosema, Yohana alibatiza kwa maji kweli, bali ninyi mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu. Basi ikiwa Mwenyezi Mungu amewapa wao karama ile ile aliyotupa sisi tuliomwamini Bwana Yesu Kristo, mimi ni nani niweze kumpinga Mungu?

Soma Mdo 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 11:15-17