Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 The 1:3-4

2 The 1:3-4 SUV

Ndugu, imetupasa kumshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, kama ilivyo wajibu, kwa kuwa imani yenu inazidi sana, na upendo wa kila mtu kwenu kwa mwenzake umekuwa mwingi. Hata na sisi wenyewe twaona fahari juu yenu katika makanisa ya Mungu kwa ajili ya saburi yenu, na imani mliyo nayo katika adha zenu zote na dhiki mnazostahimili.

Soma 2 The 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 The 1:3-4