Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Sam 18:33

2 Sam 18:33 SUV

Naye mfalme akataabika sana, akapanda juu, akaingia kile chumba kilichokuwa juu ya lango, akalia; na katika kwenda kwake alisema hivi, Mwanangu Absalomu! Ee mwanangu! Mwanangu Absalomu! Laiti ningalikufa badala yako, Absalomu, mwanangu, mwanangu!

Soma 2 Sam 18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Sam 18:33

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha