Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Sam 17:1-2

2 Sam 17:1-2 SUV

Zaidi ya hayo Ahithofeli akamwambia Absalomu, Niache nichague watu kumi na mbili elfu, nami nitaondoka na kumfuatia Daudi usiku huu; nami nitamshambulia wakati atakaokuwa amechoka, na mikono yake imekuwa dhaifu, nami nitamtia hofu; na watu wote walio pamoja naye watakimbia; nami nitampiga mfalme peke yake

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Sam 17:1-2