Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Fal 9:22

2 Fal 9:22 SUV

Ikawa, Yoramu alipomwona Yehu, akasema, Je! Ni amani, Yehu? Akajibu, Amani gani, maadamu uzinzi wa mama yako Yezebeli na uchawi wake ni mwingi?

Soma 2 Fal 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Fal 9:22