Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Fal 6:18-20

2 Fal 6:18-20 SUV

Na walipomtelemkia Elisha akamwomba BWANA, akasema, Uwapige, nakusihi, watu hawa kwa upofu. Akawapiga kwa upofu sawasawa na neno la Elisha. Elisha akawaambia, Njia hii siyo, na mji huu sio, nifuateni mimi, nami nitawapeleka kwa mtu yule mnayemtafuta. Akawapeleka Samaria. Hata walipokwisha kuingia Samaria, Elisha akasema, BWANA wafumbue macho watu hawa, wapate kuona. BWANA akawafumbua macho wakaona; kumbe! Walikuwa katikati ya Samaria.

Soma 2 Fal 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Fal 6:18-20