Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Fal 13:21

2 Fal 13:21 SUV

Ikawa, walipokuwa wakimzika mtu, angalia, waliona kikosi; wakamtupa yule mtu kaburini mwa Elisha; mara yule maiti alipoigusa mifupa ya Elisha, alifufuka, akasimama kwa miguu.

Soma 2 Fal 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Fal 13:21