Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 13:21

2 Wafalme 13:21 NEN

Ikawa Waisraeli fulani walipokuwa wanamzika mtu, ghafula wakaona kikosi cha washambuliaji, basi wakaitupa ile maiti ya yule mtu ndani ya kaburi la Elisha. Wakati ile maiti ilipogusa mifupa ya Elisha, yule mtu akafufuka na kusimama kwa miguu yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 13:21