Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Fal 13:20-21

2 Fal 13:20-21 SUV

Elisha akafa, nao wakamzika. Basi vikosi vya Wamoabi wakaingia katika nchi mwanzo wa mwaka. Ikawa, walipokuwa wakimzika mtu, angalia, waliona kikosi; wakamtupa yule mtu kaburini mwa Elisha; mara yule maiti alipoigusa mifupa ya Elisha, alifufuka, akasimama kwa miguu.

Soma 2 Fal 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Fal 13:20-21