Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 9:7-8

2 Kor 9:7-8 SUV

Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu. Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema

Soma 2 Kor 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 9:7-8