Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 7:5-6

2 Kor 7:5-6 SUV

Kwa maana hata tulipokuwa tumefika Makedonia miili yetu haikupata nafuu; bali tulidhikika kote kote; nje palikuwa na vita, ndani hofu. Lakini Mungu, mwenye kuwafariji wanyonge, alitufariji kwa kuja kwake Tito.

Soma 2 Kor 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 7:5-6