Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 4:17-18

2 Kor 4:17-18 SUV

Maana dhiki yetu nyepesi, iliyo ya muda wa kitambo tu, yatufanyia utukufu wa milele uzidio kuwa mwingi sana; tusiviangalie vinavyoonekana, bali visivyoonekana. Kwa maana vinavyoonekana ni vya muda tu; bali visivyoonekana ni vya milele.

Soma 2 Kor 4