Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 3:5-6

2 Kor 3:5-6 SUV

Si kwamba twatosha sisi wenyewe kufikiri neno lo lote kwamba ni letu wenyewe, bali utoshelevu wetu watoka kwa Mungu. Naye ndiye aliyetutosheleza kuwa wahudumu wa agano jipya; si wa andiko, bali wa roho; kwa maana andiko huua, bali roho huhuisha.

Soma 2 Kor 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 3:5-6