Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 12:6-7

2 Kor 12:6-7 SUV

Maana kama ningetaka kujisifu singekuwa mpumbavu, kwa sababu nitasema kweli. Lakini najizuia, ili mtu asinihesabie zaidi ya hayo ayaonayo kwangu au kuyasikia kwangu. Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi, kwa wingi wa mafunuo hayo nalipewa mwiba katika mwili, mjumbe wa Shetani ili anipige, nisije nikajivuna kupita kiasi.

Soma 2 Kor 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 12:6-7