Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 6:6-8

1 Tim 6:6-8 SUV

Walakini utauwa pamoja na kuridhika ni faida kubwa. Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena hatuwezi kutoka na kitu; ila tukiwa na chakula na nguo tutaridhika na vitu hivyo.

Soma 1 Tim 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 6:6-8