Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 4:7-10

1 Tim 4:7-10 SUV

Bali hadithi za kizee, zisizokuwa za dini, uzikatae; nawe ujizoeze kupata utauwa. Kwa maana kujizoeza kupata nguvu za mwili kwafaa kidogo, lakini utauwa hufaa kwa mambo yote; yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa, na ya ule utakaokuwapo baadaye. Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa; kwa maana twajitaabisha na kujitahidi kwa kusudi hili, kwa sababu tunamtumaini Mungu aliye hai, aliye Mwokozi wa watu wote, hasa wa waaminio.

Soma 1 Tim 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 4:7-10