Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 1:15-16

1 Tim 1:15-16 SUV

Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni awaokoe wenye dhambi; ambao wa kwanza wao ni mimi. Lakini kwa ajili hii nalipata rehema, ili katika mimi wa kwanza, Yesu Kristo audhihirishe uvumilivu wake wote; niwe kielelezo kwa wale watakaomwamini baadaye, wapate uzima wa milele.

Soma 1 Tim 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 1:15-16