Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 The 5:6-9

1 The 5:6-9 SUV

Basi tusilale usingizi kama wengine, bali tukeshe, na kuwa na kiasi. Maana walalao usingizi hulala usiku, pia na walewao hulewa usiku. Lakini sisi tulio wa mchana, tuwe na kiasi, hali tukijivika kifuani imani na upendo, na chapeo yetu iwe tumaini la wokovu. Kwa kuwa Mungu hakutuweka kwa hasira yake, bali tupate wokovu, kwa Bwana wetu Yesu Kristo

Soma 1 The 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 The 5:6-9