Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 2:8

1 Sam 2:8 SUV

Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Humpandisha mhitaji kutoka jaani, Ili awaketishe pamoja na wakuu, Wakakirithi kiti cha enzi cha utukufu; Kwa maana nguzo za dunia zina BWANA, Naye ameuweka ulimwengu juu yake.

Soma 1 Sam 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Sam 2:8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha