Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 1:11

1 Sam 1:11 SUV

Akaweka nadhiri, akasema, Ee BWANA wa majeshi, ikiwa wewe utaliangalia teso la mjakazi wako, na kunikumbuka, wala usinisahau mimi mjakazi wako, na kunipa mimi mjakazi wako mtoto mume, ndipo mimi nitakapompa BWANA huyo mtoto siku zote za maisha yake, wala wembe hautamfikilia kichwani kamwe.

Soma 1 Sam 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Sam 1:11