Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 3:7

1 Pet 3:7 SUV

Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.

Soma 1 Pet 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Pet 3:7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha