Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 2:19-20

1 Pet 2:19-20 SUV

Maana huu ndio wema hasa, mtu akivumilia huzuni kwa kumkumbuka Mungu, pale ateswapo isivyo haki. Kwa maana ni sifa gani kustahimili, mtendapo dhambi na kupigwa makofi? Lakini kustahimili, mtendapo mema na kupata mateso, huu ndio wema hasa mbele za Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Pet 2:19-20