Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 4:16-17

1 Yoh 4:16-17 SUV

Nasi tumelifahamu pendo alilo nalo Mungu kwetu sisi, na kuliamini. Mungu ni upendo, naye akaaye katika pendo, hukaa ndani ya Mungu, na Mungu hukaa ndani yake. Katika hili pendo limekamilishwa kwetu, ili tuwe na ujasiri katika siku ya hukumu; kwa kuwa, kama yeye alivyo, ndivyo tulivyo na sisi ulimwenguni humu.

Soma 1 Yoh 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 4:16-17