Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 1:8-9

1 Yoh 1:8-9 SUV

Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.

Soma 1 Yoh 1