Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 7:3-5

1 Kor 7:3-5 SUV

Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 7:3-5