Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 3:21-23

1 Kor 3:21-23 SUV

Basi, mtu ye yote na asijisifie wanadamu. Kwa maana vyote ni vyenu; kwamba ni Paulo, au Apolo, au Kefa; au dunia, au uzima, au mauti; au vile vilivyopo sasa, au vile vitakavyokuwapo; vyote ni vyenu; nanyi ni wa Kristo, na Kristo ni wa Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 3:21-23