Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 3:16-17

1 Kor 3:16-17 SUV

Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu huyo. Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.

Soma 1 Kor 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 3:16-17