Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 2:1-2

1 Kor 2:1-2 SUV

Basi, ndugu zangu, mimi nilipokuja kwenu, sikuja niwahubiri siri ya Mungu kwa ufasaha wa maneno, wala kwa hekima. Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, naye amesulibiwa.

Soma 1 Kor 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 2:1-2