Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 15:42-44

1 Kor 15:42-44 SUV

Kadhalika na kiyama ya watu. Hupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutokuharibika; hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu; hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa mwili wa roho. Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko.

Soma 1 Kor 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 15:42-44