Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 15:12-14

1 Kor 15:12-14 SUV

Basi, ikiwa Kristo anahubiriwa ya kwamba amefufuka katika wafu, mbona baadhi yenu husema kwamba hakuna kiyama ya wafu? Lakini kama hakuna kiyama ya wafu, Kristo naye hakufufuka; tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na imani yenu ni bure.

Soma 1 Kor 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 15:12-14