Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 13:3-5

1 Kor 13:3-5 SUV

Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu. Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya

Soma 1 Kor 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 13:3-5