Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 12:8-10

1 Kor 12:8-10 SUV

Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, apendavyo Roho yeye yule; mwingine imani katika Roho yeye yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja; na mwingine matendo ya miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine tafsiri za lugha

Soma 1 Kor 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 12:8-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha