Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 12:27-28

1 Kor 12:27-28 SUV

Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na viungo kila kimoja peke yake. Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, na masaidiano, na maongozi, na aina za lugha.

Soma 1 Kor 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 12:27-28